[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Miljöpartiet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miljöpartiet De Gröna (MP) ni chama cha siasa nchini Uswidi.

Jina lamaanisha "Chama cha mazingira - Wanaekolojia"[1].

Shabaha ya chama ni kuimarisha sheria zinazohifadhi mazingira asilia wakifuata hasa upinzani dhidi ya nishati ya kinyuklia.

Kwa kawaida wanachagua wenyeviti wawili, mmoja mwanamke na mmoja mwanamume.

Peter Eriksson na Maria Wetterstrand
Miaka Mwanamke Mwanamume
1981–1984
1984–1985 Ragnhild Pohanka Per Gahrton
1985–1986 Birger Schlaug
1986–1988 Eva Goës
1988–1990 Fiona Björling Anders Nordin
1990–1991 Margareta Gisselberg Jan Axelsson
1991–1992 Vakant
1992–1999 Marianne Samuelsson Birger Schlaug
1999–2000 Lotta Nilsson Hedström
2000–2002 Matz Hammarström
2002–2011 Maria Wetterstrand Peter Eriksson
2011–2016 Åsa Romson Gustav Fridolin
2016– Isabella Lövin
  1. "Gröna" inatafsiriwa "wenye rangi ya kibichi, ya kijani" ambayo ni jina la mwelekeo wa kisiasa unaolenga kuhifadhi mazingira katika nchi mbalimbali ("Green Party")

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]