[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Somalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mikoa ya Somalia ni maeneo ya kiutawala (umoja: gobolka, wingi: gobollada) ya Somalia, ambayo imegawiwa tena katika wilaya, ni 18:

Mikoa ya Somalia
Mkoa Eneo (km2) Wakazi Makao makuu
Awdal 21,374 1,010,566 Borama
Bari 70,088 719,512 Bosaso
Nugal 26,180 392,697 Garowe
Mudug 72,933 717,863 Galkayo
Galguduud 46,126 569,434 Dusmareb
Hiran 31,510 520,685 Beledweyne
Shebeli wa Kati 22,663 516,036 Jowhar
Banaadir 370 1,650,227 Mogadishu
Shebeli wa Chini 25,285 1,202,219 Barawa
Togdheer 38,663 721,363 Burao
Bakool 26,962 367,226 Xuddur
Woqooyi Galbeed 28,836 1,242,003 Hargeisa
Bay 35,156 792,182 Baidoa
Gedo 60,389 508,405 Garbahaarreey
Juba wa Kati 9,836 362,921 Bu'aale
Juba wa Chini 42,876 489,307 Kismayo
Sanaag 53,374 544,123 Erigavo
Sool 25,036 327,428 Las Anod