[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Makoto Hasebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makoto Hasebe
Maelezo binafsi
Jina kamili Makoto Hasebe
Tarehe ya kuzaliwa 18 Januari 1984 (1984-01-18) (umri 40)
Mahala pa kuzaliwa    Fujieda, Shizuoka Prefecture, Japan
Urefu 5 ft 10 in (1.78 m)
Nafasi anayochezea Katikati
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Vfl Wolfsburg
Namba 13
Klabu za vijana
1999-2001 Fujieda Higashi HS
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2002–2007
2008–
Urawa Red Diamonds
VfL Wolfsburg
Timu ya taifa
2006– Japan

* Magoli alioshinda

Makoto Hasebe (Kijapani: 長谷部 誠, Amezaliwa 18 Januari 1984 katika mji Fujieda, Zhizuoka Prefecture, Japana) Ni Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japan. Ni mchezaji wa katikati ambae anatumikisha mguu wa kulia anayeichezea klabu ya mashuhuri ya Vfl Wolfsburg Katika ligi ya Ujerumani ya Bundesliga na Timu ya Taifa ya Japan.

Kuanza kwake Mpira wa Miguu

[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kupata cheti cha masomo ya sekondari mwaka 2002, alijiunga na klabu mashuhuri huko Japan iitwayo Urawa Red Diamonds lakini hakuwa kiungo muhimu katika timu hiyo mwaka huo. Mwaka 2003 ndio alitokea kuwa kiungo muhimu wa timu hiyo. Katika mwaka 2004 alipewa zawadi na ligi ya Japani kama Bingwa mpya na aliweza kuchaguliwa katika timu bora ya mwaka huo. Alipata zawadi mwaka huo huo ya mchezaji kipenzi katika wa shabiki wa klabu hiyo.

Timu yake Taifa

[hariri | hariri chanzo]

Bwana Hasebe mechi yake ya kwanza ya Taifa ilikuwa ni 11 Januari mwaka 2006 katika mechi ya kupimana nguvu dhidi ya timu ya taifa ya Marekani katika wilaya ya San Francisco

Kwenda kwake Ulaya

[hariri | hariri chanzo]

Iliripotiwa mwezi wa 10 2007 atajiunga na klabu iitwayo A.C Siena katika ligi ya Itali eti timu hiyo imeweza kuchukua saini yake na atajiunga na klabu hiyo Januari, lakini haikuwa sahihi, maana baadae alijiunga na klabu ya Vfl Wolfsburg na alikuwa mchezaji wa kwanza kabisa kutoka Japan kuichezea klabu hiyo ya Vfl Wolfsburg na alikuwa ni mchezaji wa pili kutoka Japan kuchukuwa ubingwa wa Bundesliga baada ya mchezaji aitwaeYasuhiko Ukudera

Kuongeza Mkataba

[hariri | hariri chanzo]

Katika mwezi wa 29 Aprili, ilitangazwa kwamba Hasebe aliongeza mkataba ambao utamuweka kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2012.

[1]

Timu ya Taifa ya Japani
Mwaka Mechi Magoli
2006 6 0
2007 0 0
2008 10 0
2009 11 1
2010 10 0
2011 15 1
2012 11 0
2013 14 0
2014 6 0
2015 12 0
2016 9 0
2017 2 0
2018 8 0
Jumla 114 2
  1. Makoto Hasebe at National-Football-Teams.com

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makoto Hasebe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.