[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Vita

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarufi: Vita ya - vita vya

[hariri chanzo]

Tumekuwa mara kadhaa na majadiliano kuhusu mpangilio wa kisarufi wa neno hili "vita". Wengi wamezoea "vita vya". Kuna pia matumizi ya "vita ya" na hii nimefuata katika michango yangu maana inasaidia kutofautisha kati ya vita moja na vita nyingi. Kwa "vita ya" ushahidi wangu ulikuwa katika kamusi za kale kiasi. Nafurahi kuona sasa matumizi haya pia katika makala hii: https://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/-Tusiruhusu-Vitaya-Tatu-ya-dunia/1597296-5261154-ushvi7z/index.html Kipala (majadiliano) 08:19, 6 Septemba 2019 (UTC)[jibu]