Motala
Mandhari
Motala ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 29,798 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1881 .
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 19.18 km². Iko kando ya Ziwa Vättern.
-
Borensberg katika manispaa ya Motala
-
Kanisa la Motala
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Motala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |