[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

OC Ukeje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Okechukwu Ukeje (akijulikana pia kama OC Ukeje; alizaliwa 1981) ni mwigizaji, mwanamitindo na mwanamuziki wa Nigeria.

Alipata umaarufu baada ya kushinda onyesho la Amstel Malta Box Office (AMBO).[1]

  1. Adebayo, Tireni (2021-07-16). "OC Ukeje quietly marks 40th birthday". Kemi Filani News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu OC Ukeje kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.