[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Irma Thomas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Irma Thomas (née Lee; amezaliwa 18 Februari 1941) [1] ni mwimbaji kutoka New Orleans, Marekani. [2]

Thomas anaishi na kufanya kazi zake wakati mmoja na Aretha Franklin na Etta James, lakini hakuwahi kupata mafanikio ya kibiashara makubwa zaidi yao. [3] Mnamo 2007, alishinda tuzo ya Grammy ya Albamu Bora ya Kisasa ya Blues ya After the Rain, Grammy yake ya kwanza katika taaluma iliyochukua zaidi ya miaka 50 ya maisha yake. <ref">"Irma Thomas". Grammy.com. Mei 14, 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 24, 2020. Iliwekwa mnamo Machi 4, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref>

Maisha na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa na kupewa jina la Irma Lee, huko Ponchatoula, Louisiana, Marekani, [4] alikuwa binti wa Percy Lee, fundi wa vyuma , na Vader Lee, ambaye alifanya kazi za ndani kwenye nyumba za waajiri wake. [5] Akiwa katika umri wa kati ya miaka 13 hadi 19 , aliimba pamoja na kwaya ya kanisa la Baptist. Alifanya majaribio ya Rekodi Maalum akiwa na umri wa miaka 13. Kufikia umri wa miaka 19, alikuwa ameolewa mara mbili na alikuwa na watoto wanne. Akihifadhi jina la mume wake wa pili wa zamani, alifanya kazi kama mhudumu huko New Orleans, mara kwa mara akiimba na kiongozi wa bendi Tommy Ridgley, ambaye alimsaidia kupata mkataba wa rekodi na lebo ya eneo la Ron . Wimbo wake wa kwanza, "Don't Mess with My Man", [4] ulitolewa mwishoni mwa mwaka wa 1959, na kufikia nambari 22 kwenye chati ya R&B ya Marekani. [6]

Washawishi

[hariri | hariri chanzo]
  • Etta James
  • Mahalia Jackson
  • Pearl Bailey
  • Nancy Wilson
  • Brook Benton
  • John Lee Hooker
  • Percy Mayfield [7]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Miziki isiyo katika albamu

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka A B Lebo na marejeo Takwimu za chati za Marekani[8]
1959 "Don't Mess with My Man" "Set Me Free" Rekodi ya Ron 328 No. 22 – R&B
1959 "A Good Man" "I May Be Wrong" Rekodi ya Ron 330
1961 "Girl Needs Boy" "Cry On" Rekodi ya Minit 625
1961 "It's Too Soon to Know" "That's All I Ask" Rekodi ya Minit 633
1962 "Gone" "I Done Got Over It" Rekodi ya Minit 642
1962 "It's Raining" "I Did My Part" Rekodi ya Minit 653
1962 "Two Winters Long" "Somebody Told Me" Rekodi ya Minit 660
1963 "Ruler of My Heart" "Hittin' on Nothing" Rekodi ya Minit 666
1963 "For Goodness Sake" "Whenever (Look Up)" Rekodi ya Bandy 368
1963 "Foolish Girl" "When I Met You" Rekodi ya Bumba 711
1964 "Wish Someone Would Care" "Breakaway" Rekodi ya Imperial 66013 No. 17 – Pop
1964 "Anyone Who Knows What Love Is (Will Understand)" "Time Is on My Side" Rekodi ya Imperial 66041 No. 52 – Pop
1964 "Times Have Changed" "Moments to Remember" Rekodi ya Imperial 66069 No. 98 – Pop
1964 "He's My Guy" "(I Want A) True, True Love" Rekodi ya Imperial 66080 No. 63 – Pop
1965 "Some Things You Never Get Used To" "You Don't Miss a Good Thing" Rekodi ya Imperial 66095
1965 "I'm Gonna Cry Till My Tears Run Dry" "Nobody Wants to Hear Nobody's Troubles" Rekodi ya Imperial 66106
1965 "It's Starting to Get to Me Now" "Hurt's All Gone" Rekodi ya Imperial 66120
1965 "Take a Look" "What Are You Trying to Do" Rekodi ya Imperial 66137
1966 "It's a Man's-Woman's World (part 1)" "It's a Man's-Woman's World (part 2)" Rekodi ya Imperial 66178
1967 "Somewhere Crying" "Cheater Man" Rekodi ya Chess 2010
1967 "A Woman Will Do Wrong" "I Gave You Everything" Rekodi ya Chess 2017
1968 "Good to Me" "We Got Something Good" Chess Records 2036 No. 42 – R&B
1970 "Save a Little Bit For Me" "That's How I Feel About You" Rekodi ya Canyon 21
1971 "I'd Do It All Over You" "We Won't Be in Your Way Anymore" Rekodi ya Canyon 31
1972 "Full Time Woman" "She's Taking My Part" Rekodi ya Cotillion 41444
1973 "She'll Never Be Your Wife" "You're the Dog" Rekodi ya Fungus 15119
1973 "In Between Tears (part 1)" "In Between Tears (part 2)" Rekodi ya Fungus 15141
1974 "Coming from Behind (part 1)" "Coming from Behind (part 2)" Rekodi ya Fungus 15353
1977 "Don't Blame Him" "Breakaway" Maison de Soul 1012
1978 "Hip Shakin' Mama" "Hittin' on Nothin'" Maison de Soul 1058
1979 "Safe With Me" "Zero Willpower" Rekodi ya RCS 1006
1980 "Take What You Find" "I Can't Help Myself (Sugar Pie Honey Bunch)" Rekodi ya RCS 1008
1980 "A Woman Left Lonely" "Dance Me Down Easy" Rekodi ya RCS 1010
1981 "Looking Back" "Don't Stop" Rekodi ya RCS 1013
1988 "Mardi Gras Mambo" "I Believe Saints Go All the Way" Sound of New Orleans 10311

[9]

2013 "For The Rest Of My Life" "Forever Young" Swamp Island

[10]


Mwaka Jina Lebo Nukuu
1979 Irma Thomas Sings Bandy Bandy/Minit
1983 Time Is on My Side Kent Minit/Imperial
1986 Break-A-Way: The Best of Irma Thomas Legendary Masters Series (EMI-USA)
1987 BreakaWay Stateside Minit/Imperial
1990 Something Good: The Muscle Shoals Sessions MCA/|Chess Rekodi ya Chess
1991 Safe with Me/Irma Thomas Live Paula
1992 Time Is on My Side: The Best of Irma Thomas Volume 1 EMI-USA Minit/Imperial
1996 Ruler of Hearts Charly Rekodi ya Minit/Bandy/Island
1996 Sweet Soul Queen of New Orleans: The Irma Thomas Collection Razor & Tie Minit/Imperial
1996 Time Is on My Side Kent Toleo lililoongezwa la 1983 LP
2001 If You Want It, Come and Get It Rounder
2005 Straight from the Soul Stateside Minit/Imperial
2006 A Woman's Viewpoint: The Essential 1970s Recordings Ace Fungus/Canyon/RCS
2006 Wish Someone Would Care/Take a Look Collectables Imperial
2009 The Soul Queen of New Orleans: 50th Anniversary Celebration Rounder Nyimbo tatu ambazo hazijatolewa, kati ya nyimbo kumi na tano

[11]

Washiriki walioalikwa

[hariri | hariri chanzo]
mwaka Jina Msanii Lebo Nukuu
1993 Blues Summit B.B. King Rekodi ya MCA Kolabo ya "We're Gonna Make It"[12]
2005 I Believe to My Soul Wasanii mbalimbali Rekodi ya Rhino Wakiimba "Loving Arms"[13]
2005 Our New Orleans: A Benefit Album for the Gulf Coast Wasanii mbalimbali Elektra/Nonesuch]] Wakiimba "Back Water Blues"[14]
2006 Sing Me Back Home Klnabu ya Kijamii ya New Orleans Burgundy/Honey Darling Kolabo na Marcia Ball kwenye nyimbo ya "Look Up"[15]
2007 Goin' Home: A Tribute to Fats Domino Various artists Rekodi ya Vanguard]] Kolabo na Marcia Ball kwenye wimbo wa "I Can't Get New Orleans Off My Mind"[16]
2010 Ya-Ka-May Galactic Rekodi ya Anti-]] Akiingiza sauti kwenye nyimbo ya "Heart of Steel"[17]
2011 Let Them Talk(katika albamu ya Hugh Laurie) Hugh Laurie Rekodi ya Warner Bros.]] Akiingiza sauti kwenye "John Henry" na kwenye nyimbo ya "Baby, Please Make a Change"[18]


Mwaka Jina Nukuu
1978 Always for Pleasure
2005 Make It Funky!
2006 New Orleans Music in Exile
2010 Treme Mfululizo wa Filamu ya televisheni


  1. Jeff Hannusch (1985). I Hear You Knockin : The Sound of New Orleans Rhythm and Blues. Swallow Publications. ISBN 978-0961424503. I was born in Ponchatoula, Louisiana, February 18, 1941
  2. Ankeny, Jason. [[[:Kigezo:AllMusic]] "Biography: Irma Thomas"]. AllMusic. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ankeny, Jason. [[[:Kigezo:AllMusic]] "Biography: Irma Thomas"]. AllMusic. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)Ankeny, Jason. "Biography: Irma Thomas". AllMusic. Retrieved May 16, 2010.
  4. 4.0 4.1 Colin Larkin, mhr. (1997). The Virgin Encyclopedia of Popular Music (tol. la Concise). Virgin Books. uk. 1175. ISBN 1-85227-745-9.
  5. 1950 United States Federal Census, New Orleans, Orleans County, Louisiana, E.D. Number 36-504, p. 43-44
  6. Ankeny, Jason. [[[:Kigezo:AllMusic]] "Biography: Irma Thomas"]. AllMusic. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)Ankeny, Jason. "Biography: Irma Thomas". AllMusic. Retrieved May 16, 2010.
  7. Sinclair, John. "Irma Thomas: An Audience with the Soul Queen of New Orleans". Bluesaccess.com. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Irma Thomas – Chart history – Billboard". Billboard.com. Iliwekwa mnamo Agosti 23, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Irma Thomas: A discography of US singles". Helsinki.fi. Iliwekwa mnamo Mei 16, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Irma Thomas". Open.spotify.com. Iliwekwa mnamo Mei 12, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named auto
  12. "Blues Summit – B.B. King – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "I Believe to My Soul – Various Artists – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "Our New Orleans: A Benefit Album for the Gulf Coast – Various Artists – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Sing Me Back Home – The New Orleans Social Club – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named auto2
  17. "Ya-Ka-May – Galactic – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. "Let Them Talk – Hugh Laurie – Songs, Reviews, Credits – AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)