Idrissa Gueye
Mandhari
Idrissa Gana Gueye (amezaliwa Septemba 26 1989) ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza katika klabu ya Everton F.C na timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Senegal.
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Idrissa Gana Gueye alizaliwa Dakar, Gueye alianza kazi yake ya kwanza katika maisha yake kimpira huko Senegal kwa Diambars kabla ya kujiunga na klabu ya Ufaransa na kucheza katika timu ya Lille mwaka 2008. Alivunja mchezaji ndani ya mechi ya kwanza katika msimu wa mwaka 2010-2011, ambapo Lille alishinda katika Ligue 1.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Idrissa Gueye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |