Hanna Elise Marcussen
Mandhari
Hanna Elise Marcussen (alizaliwa tarehe 4 Septemba 1977) ni mwanasiasa wa Green Party nchini Norwei. Kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Jiji la Oslo kwa Maendeleo ya mji huo.[1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 2008-2014 alihudumu kama msemaji wa kitaifa wa Green Party nchini Norway. Alichaguliwa kama naibu mjumbe wa baraza la jiji la Oslo mwaka 2011 na 2015.Novemba 2012, alipoteza pambano dhidi ya Rasmus Hansson kwenye uchaguzi wa ubunge wa mwaka 2013. Badala yake alipata nafasi ya ushindi huko Rogaland mwezi Februari, 2013.[3] Hansson alichaguliwa mjini Oslo, na Marcussen hakufanikiwa kushinda kiti cha ubunge Rogaland.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Vice Mayor for Urban Development. Retrieved 18 July 2017.
- ↑ Rasmus Hansson topper Miljøpartiets liste i Oslo. Aftenposten, 16 November 2012 Kigezo:In lang
- ↑ Skal kjempe for stortingsplass Archived 2013-07-03 at Archive.today Rogalands Avis, 21 February 2013 Kigezo:In lang
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hanna Elise Marcussen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |