Kimising
Mandhari
Kimising (au Kimishing) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamising. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimising imehesabiwa kuwa watu 551,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimising iko katika kundi la Kitani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimising kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimising Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimising katika Glottolog
- lugha ya Kimising kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimising kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |