Kikuke
Mandhari
Kikuke (pia Kighale ya Kutang) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakuke. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikuke imehesabiwa kuwa watu 29 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikuke iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikuke kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuke Archived 14 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikuke katika Glottolog
- lugha ya Kikuke kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |