Jiografia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kijiografia)
Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake.[1]
Neno la Kiswahili jiografia linafuata matamshi ya Kiingereza ya neno la Kigiriki "γεωγραφία", geo-grafia kutoka gê "dunia" na graphein "kuandika". Lina maana ya "kuandika kuhusu Dunia". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi Eratosthenes (276-194 KK).
Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake. Maajabu yake ni vitu vinavyotokea kama vile maji kujaa na kupwa, upepo, na tetemeko la ardhi.
Nchi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Burundi
- Eritrea
- Jibuti
- Kenya
- Komoro
- Rwanda
- Shelisheli
- Somalia
- Tanzania
- Uganda
- Uhabeshi (Ethiopia)
- Sudan Kusini
Afrika ya Kati
[hariri | hariri chanzo]- Gabon
- Guinea ya Ikweta
- Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Jamhuri ya Kongo
- Kamerun
- Sao Tome na Principe
Afrika ya Kaskazini
[hariri | hariri chanzo]Afrika ya Kusini
[hariri | hariri chanzo]- Angola
- Botswana
- Eswatini
- Lesotho
- Malawi
- Mauritius
- Msumbiji (Mozambiki)
- Namibia
- Afrika Kusini
- Zambia
- Zimbabwe
Afrika ya Magharibi
[hariri | hariri chanzo]- Benin
- Burkina Faso
- Chadi
- Cabo Verde
- Ivory Coast
- Gambia
- Ghana
- Guinea
- Guinea Bisau
- Liberia
- Mali
- Mauritania
- Niger
- Nigeria
- Senegal
- Sierra Leone
- Togo
Nchi za Amerika ya Kaskazini
[hariri | hariri chanzo]Nchi za Amerika ya Kati
[hariri | hariri chanzo]Nchi za barani
[hariri | hariri chanzo]*(Meksiko mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati kwa sababu za kiutamaduni)
Nchi za visiwa vya Karibi
[hariri | hariri chanzo]- Antigua na Barbuda
- Bahamas
- Barbados
- Dominica
- Jamhuri ya Dominika
- Grenada
- Haiti
- Jamaika
- Kuba
- Saint Kitts na Nevis
- Saint Lucia
- Saint Vincent na Grenadini
Nchi za Amerika ya Kusini
[hariri | hariri chanzo]- Argentina
- Bolivia
- Brazil
- Chile
- Ekuador
- Guyana
- Guyana ya Kifaransa
- Kolombia
- Paraguay
- Peru
- Surinam
- Uruguay
- Venezuela
Nchi za Asia
[hariri | hariri chanzo]Asia ya Kati
[hariri | hariri chanzo]Asia ya Kaskazini
[hariri | hariri chanzo]Asia ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Uchina (pamoja na Taiwan)
- Japani
- Korea Kaskazini
- Korea Kusini
Asia ya Kusini-Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Brunei
- Indonesia
- Kamboja
- Laos
- Malaysia
- Myanmar (zamani iliitwa Burma)
- Philippines
- Singapur
- Thailand (zamani iliitwa Siam)
- Timor Mashariki
- Vietnam
Asia ya Kusini
[hariri | hariri chanzo]Asia ya Magharibi
[hariri | hariri chanzo]- Armenia
- Azerbaijan
- Georgia
- Irak
- Israel
- Yordani
- Libanon
- Palestina
- Shamu (au: Syria)
- Uajemi (au Iran au Persia)
- Uturuki
Bara Arabu
[hariri | hariri chanzo]Nchi za Ulaya
[hariri | hariri chanzo]Nchi za Oceania
[hariri | hariri chanzo]- Jua
- Utaridi [2]
- Zuhura (Ng'andu)
- Dunia (Ardhi)
- Mirihi (Meriki - Mars)
- Mshtarii [3]
- Zohari [4]
- Uranus[5]
- Neptun[6]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Geography". The American Heritage Dictionary/ of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2006.
- ↑ Inatajwa kama "Zebaki" katika kamusi kadhaa, kwa kosa la kutafsiri upya jina la Kiingereza "Mercury" linalomaanisha metali na pia sayari, tofauti na Kiswahili
- ↑ inaitwa kwa kosa "Sumbula" katika vitabu vichache; lakini Sumbula ni jina la nyota ya en:Spica
- ↑ Katika vitabu vichache inaitwa "Saratani" au "Satani" kwa kosa; Saratani ni jina la kundinyota ya Cancer; inaonekana kuna kosa kutokana matamshi ya kienyeshi ya jina "Saturn"
- ↑ Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Zohali" ambalo ni jina la sayari inayoitwa kwa Kiingereza "Saturn"
- ↑ Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Kausi" ambalo ni jina la kundinyota inayoitwa kwa Kiingereza "Sagittarius"
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jiografia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |