[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kibatak-Toba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatak-Toba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watoba kwenye visiwa vya Sumatra na Samosir. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Toba imehesabiwa kuwa watu milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Toba iko katika kundi la Kibatak.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Toba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.