Kitonjon
Mandhari
Kitonjon ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire iliyozungumzwa na wahunzi miongoni mwa Wadjimini. Hakuna wasemaji wa Kitonjon waliobaki, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonjon iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitonjon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitonjon
- lugha ya Kitonjon katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tjn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitonjon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |