Kiteke-Tsaayi
Mandhari
Kiteke-Tsaayi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Watsaayi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Tsaayi nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 95,900 na nchini Gabon 33,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Tsaayi iko katika kundi la B70.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitsaayi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitsaayi
- lugha ya Kitsaayi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tyi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Tsaayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |