[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kasa
Kasa mwamba (Eretmochelys imbricata)
Kasa mwamba (Eretmochelys imbricata)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Testudines (Reptilia wenye gamba gumu au galili)
Batsch, 1788
Nusuoda: Cryptodira
Ngazi za chini

Familia 2, spishi 7:

Kasa ni aina za makobe wakubwa kiasi wanaoishi baharini. Hutaga mayai yao katika mchanga wa fuko za kanda za tropiki na nusutropiki. Kama makobe wote kiwiliwili cha kasa kimefunikwa kwa gamba gumu liitwalo galili, lakini hawawezi kuvuta kichwa na miguu ndani ya galili.

Familia Dermochelyidae

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kasa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.