[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kampuni ya umma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kampuni ya umma (kwa Kiingereza: Public Limited Company, kifupi: PLC) ni mfumo wa biashara ulio chini ya kampuni ya umma. Kampuni za mfumo huu ziko na dhima yenye ukomo (kwa Kiingereza: limited liability) na hisa zake zinaweza kuuzwa kwa uhuru na kuuzwa kwa umma kwenye Soko la Hisa (kwa Kiingereza: stock exchangE market)[1].

Nchi tofauti ziko na sheria tofauti zinazozingatiwa kwenye biashara za mfumo huu ila kuna ufanano wa karibu wa kijumla wa jinsi shughuli zake zinavyoendeshwa. Makampuni ya namna hiyo huko Marekani yanaitwa: Publicly traded companies.

  1. Longman Business English Dictionary

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kampuni ya umma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.