[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

El Djem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari yake.

El Djem ni mji wa wilaya ya Mahdia huko Tunisia.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 21,234 [1].

Magofu yake yameorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu El Djem kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.