Gyumri
Mandhari
Gyumri (kwa Kiarmenia: Գյումրի, pia unajulikana kwa majina ya Kirumi kama Kumayri, Kümri, Gumry, Gumri, Gimri, Kyumayri, na Kyumri) ni mji mkuu na mkubwa wa Mkoa wa Shirak kaskazini-magharibi mwa nchi ya Armenia. Upo takriban kilomita 120 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan, na idadi ya wakazi wapatao 168,918 (2008; kutoka 150,917 ilivyoripotiwa kwenye sensa ya mwaka wa 2001, na kuufanya uwe mji mkubwa nchini Armenia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Gyumri kwenye GEOnet Names Server
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
- ^ See: Encyclopedia Britannica
- Adrian Room, Placenames of the World: Origins and Meanings of the Names for Over 5000 Natural Features, Countries, Capitals, Territories, Cities and Historical Sites, McFarland, 1997, ISBN 0-7864-1814-1 (pbk) p. 192
- ^ See http://www.gyumri.am/eng/history.html
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- City website Archived 17 Agosti 2012 at the Wayback Machine. (Kiingereza)
- Surp Amenaprkich cathedral in Gyumri
- FallingRain Map - elevation = 1546m (Red dots are railways)
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gyumri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |