César Franck
Mandhari
'
César Franck | |
---|---|
Cesar franck.jpg | |
Amezaliwa | 10 Desemba 1822 |
Amefariki | 8 Novemba 1890 |
Kazi yake | alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji |
César Franck (10 Desemba 1822 - 8 Novemba 1890) alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji-Kijerumani aliyekuwa anaishi nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati wa watunzi maarufu wa kipindi cha romantiki. Alikuwa mpigaji kinanda wa Kanisa la Mtakatifu Clotilde la mjini Paris kwa zaidi ya miaka 30 na akawa anafundisha vijana wengi wenye vipaji vya muziki. Miziki yake iliyomingi ambayo ni maarufu zaidi, aliitunga akiwa tayari yungali mtu mzima.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Free scores by César Franck katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- César Franck ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- (Kijerumani) (Kifaransa) International César Franck Society Archived 16 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) Biography Archived 16 Oktoba 2006 at the Wayback Machine. at Decca Classics
- (Kiingereza) Performances of works by César Franck in MP3 format at Logos Virtual Library
- (Kiingereza) L'Organiste played on virtual harmoniums Archived 20 Septemba 2013 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu César Franck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |