Bernadi wa Parma
Mandhari
Bernadi wa Parma (Firenze, Italia, 1060 hivi – Parma, Italia, 4 Desemba 1133) alikuwa mmonaki na mkuu wa urekebisho wa Wabenedikto wakaapweke wa Vallombrosa.
Alifanywa kardinali na askofu wa Parma kuanzia mwaka 1106 hadi kifo chake.
Daima alijitahidi kama mmonaki kulenga ukamilifu wa Kikristo, kama kardinali kulenga ustawi wa Kanisa na kama askofu kulenga wokovu wa watu [1].
Tangu wakati huo aliheshimiwa kama mtakatifu. Mwaka 1139 Papa Inosenti II alithibitisha sifa hiyo [2].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Desemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/80450
- ↑ Salvador Miranda. "Uberti, O.S.B.Vall., Bernardo degli (ca. 1060-1133)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-09. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Affò, Ireneo (1788). Vita di San Bernardo degli Uberti abate gen. di Vallombrosa cardinale di s. chiesa e vescovo di Parma (kwa Italian). Parma: Presso Filippo Carmignani.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Chronicon Parmense. Monumenta historica ad provincias Parmensem et et Placentinam pertinenti, Volume 5a (kwa Latin). Parma: ex officina P. Fiaccadori. 1855. ku. 491–515.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Donizo, "Vita Mathildis Comitissae", in: Georgius Henricus Pertz, mhr. (1856). Monumenta Germaniae historica inde ab anno Christi quingentesimo usque ad annum millesimum et quingentesimum (kwa Latin). Juz. la Scriptorum Tomus XII. Hannover: Impensis Bibliopolii Aulici Hahniani. ku. 348–409, esp. p. 398.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: