Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
All Hail the Queen ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa hip hop kutoka nchni Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitolewa mnamo tar. 7 Novemba 1989 kupitia studio za Tommy Boy Records. Albamu ilikuwa na mafanikio sio ya kawaida kwa upande wa rekodi za hip hop kwa kipindi hicho, ilichangamshwa na kibao chake kikali cha "Wrath of My Madness". Ule usemi wa kike wa "Ladies First" (akiwa na Monie Love) ulibaki kuwa kama alama kuu katika nyimbo za Latifah.
All Hail the Queen ilishika nafasi ya #6 na #124 kwenye chati za Billboard (Amerika ya Kaskazini) Top Hip Hop/R&B Albums na chati za Billboard 200, kwa pamoja. Mamma Gave Birth to the Soul Children ilishika nafasi ya #14 nchini Uingereza. Mnamo 1998, albamu ilichaguliwa ikiwa kama moja kati ya Albamu Bora 100 za The Source. Pia ilipata kuwekwa kwenye orodha ya Robert Dimery 1001 Albums You Must Hear Before You Die.
Mwaka wa 2008, kibao cha "Ladies First" ulipewa nafasi ya 35 kwenye Nyimbo Kali 100 za Hip Hop za VH1.
Mtunzi (wa) |
1. |
"Dance for Me" | James/Owens/Stewart |
3:41 |
2. |
"Mama Gave Birth to the Soul Children" (with De La Soul) | Owens |
4:25 |
3. |
"Come into My House" (with Quasar) | Owens |
4:14 |
4. |
"Latifah's Law" | Owens/Vega |
3:51 |
5. |
"Wrath of My Madness" | James/Owens |
4:12 |
6. |
"The Pros" (with Daddy-O) | Owens/Bolton |
5:43 |
7. |
"Ladies First" (with Monie Love) | Owens |
3:45 |
8. |
"A King and Queen Creation" (with 45 King) | Owens |
3:34 |
9. |
"Queen of Royal Badness" | James/Welch |
3:24 |
10. |
"Evil That Men Do" (with KRS-One) | Owens/Parker |
4:03 |
11. |
"Princess of the Posse" | James/Owens |
3:51 |
12. |
"Inside Out" | James/Owens |
4:11 |
13. |
"Dance for Me" (Ultimatum Remix) | James/Owens |
5:04 |
14. |
"Wrath of My Madness" (Soulshock Remix) | James/Owens |
5:30 |
15. |
"Princess of the Posse" (DJ Mark the 45 King Remix) | James/Owens |
4:07 |
|
---|
Albamu za Studio | |
---|
Kompilesheni | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|