[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Antonio Casas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antonio Casas
Antonio katika filamu ya the The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966.
Antonio katika filamu ya the The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966.
Jina la kuzaliwa Antonio Casas
Alizaliwa 11 Novemba 1911
Hispania
Kafariki 14 Februari,
Madrid
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1941 hadi 1982

Antonio Casas (La Coruña, Galicia, 11 Novemba 1911 - Madrid, Hispania, 14 Februari 1982) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa Hispania, aliyekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka 1941 na 1982 kifo chake kilipowadia.

Casas awali alianza kama mchezaji mpira wa miguu lakini mwaka 1941 akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu mnamo na akafanya karibuni filamu 170 za kawaida na TV pia hadi 1982.

Casas alionekana katika filamu iliongozwa na Sergio Leone zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966, ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.

Mnamo miaka ya 1970 alifanya kazi katika televisheni lakini akarudi tena katika uwanja filamu baada ya 1975 akuachia tena shughuliza uigizaji hadi kifo chake kilivyowadia mwaka 1982.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Casas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.