Clara Zetkin
Mandhari
Clara Zetkin (5 Julai 1857 – 20 Juni 1933) alikuwa mwanaharakati na mtetezi wa haki za Wanawake kutoka nchini Ujerumani[1]
Hadi kufikia mwaka 1917 alikuwa mwanachama hai wa chama cha Social Democratic Party of Germany.[2] Alijiunga na chama cha Independent Social Democratic Party of Germany (USPD) kisha akahamia Spartacist League, na baadaye kujiunga na Kommunist Party of Germany (KPD), alipokuwa akiwakilisha Reichstag wakati wa jamhuri ya Weimar kuanzia mwaka 1920 hadi 1933.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Zetkin, Clara * 5.7.1857, † 20.6.1933: Biographische Angaben aus dem Handbuch der Deutschen Kommunisten". Bundesstiftung zur Aufarbeitung der SED-Diktatur: Biographische Datenbanken. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Clara Zetkin | bpb
- ↑ Gilbert Badia, Clara Zetkin: Féministe Sans Frontières (Paris: Les Éditions Ouvrières 1993).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clara Zetkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |