[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Charlize Rule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rule mnamo 2021

Charlize Rule (alizaliwa 16 Februari 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa ya Australia.[1][2]

  1. "Australia - C. Rule - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
  2. https://www.brightonandhovealbion.com/news/3603630/albion-sign-charlize-rule-from-sydney-fc
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlize Rule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.