4 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Mei ni siku ya 124 ya mwaka (ya 125 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 241.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 553 - Mwanzo wa Mtaguso wa pili wa Konstantinopoli
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1925 - Ruth First, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1929 - Ronald Golias, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1950 - William Rose Benét, mshairi kutoka Marekani
- 1972 - Edward Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 1981 - Paul Green, mwandishi wa tamthiliya kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agapio, Sekondino na wenzao, Antonina wa Nisea, Floriani wa Lorch, Silvano na wenzake, Yohane Houghton na wenzake n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |