24 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Agosti ni siku ya 236 ya mwaka (ya 237 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 129.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 79 - Mlipuko wa volkeno ya Vesuvio unaharibu miji ya Pompei na Herkulaneo karibu na Napoli (Italia)
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1898 - Albert Claude, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1899 - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
- 1905 - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi
- 1951 - Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani
- 1982 - Jose Bosingwa, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 842 - Saga, mfalme mkuu wa Japani (809-823)
- 1617 - Mtakatifu Rosa wa Lima, bikira wa Peru
- 1856 - Mtakatifu Emilia wa Vialar, bikira wa Ufaransa
- 2008 - Tad Mosel, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Mtume Bartholomayo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Tasioni, Audoeni, Joji Limniota, Yoana Antida Thouret, Emilia wa Vialar, Maria Mikaela Desmaisieres n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |