21 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Oktoba ni siku ya 294 ya mwaka (ya 295 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 71.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1675 - Higashiyama, Mfalme Mkuu wa 113 wa Japani (1687-1709)
- 1833 - Alfred Nobel, mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel
- 1917 - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1944 - Jean-Pierre Sauvage, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 1975 - Henrique Hilário, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
- 1982 - Matt Dallas, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1500 - Go-Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1464-1500)
- 2012 - George McGovern, mwanasiasa kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Dasio, Zotiko na Kayo, Ursula na wenzake, Hilarioni wa Gaza, Malko wa Maronia, Severini wa Bordeaux, Selina, Viatori wa Lyon, Vendelini wa Trier, Mauronti, Petro Yu Tae-chol, Laura wa Mt. Katerina n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |