[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Trabzonspor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:15, 11 Februari 2009 na Nallimbot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: tr:Trabzonspor Kulübü)

Trabzonspor, pia inajulikana kama Trabzonspor Kulübü, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Uturuki. Klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1967 na ina wanachama wapatao 27.000.

Uwanja wao wa nyumbani maarufu unaitwa Hüseyin Avni Aker Stadı mjini Trabzon.

Wachezaji maarufu wa klabu ya Trabzonspor

Makocha wa klabu ya Trabzonspor

Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008

Magolikipa:

Walinzi:

Katikati:

Washambuliaji:

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:



Kigezo:Link FA