[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Tureia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 20:53, 19 Julai 2020 na 196.249.98.133 (majadiliano) (+image #WPWP #WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Kisiwa cha Tureia

Tureia ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Pinaki. Eneo la kisiwa ni 8 km². Kijiji cha pekee kisiwani huitwa Hakamaru. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 243. Watu wakaao kisiwani kwa Tureia huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.