Shuka ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha :
Shuka(nomino) – aina ya kitambaa kikubwa au kifaa kinachotumika wutandikia kitanda au kujifunika wakati unapokua umelala.
Shuka(kitenzi) – ni tendo la kuteremka kutoka sehemu ya juu. Kwa mfano kutoka juu ya mti, gari au mlima.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.