[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Paa (Bovidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza matini
No edit summary
Mstari 21: Mstari 21:
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


'''Paa''' (pia huitwa: '''Nsya''', ''Sylvicapra grimmia''; '''Mindi''', ''Cephalophus spadix''; '''Funo''', ''Cephalophus natalensis''; na '''Chesi''', ''Philantomba monticola'') ni jina la kawaida kwa [[mnyama|wanyama]] wadogo wa [[Afrika]] wanaofanana na [[swala]] na walio na pembe fupi. Huainishwa katika [[nususfamilia]] [[Cephalophinae]] ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. [[Paa-chonge]] ni wanyama wengine katika familia [[Tragulidae]].
'''Paa''' ([[ing.]] ''duiker''; huitwa pia: '''Nsya''', ''Sylvicapra grimmia''; '''Mindi''', ''Cephalophus spadix''; '''Funo''', ''Cephalophus natalensis''; na '''Chesi''', ''Philantomba monticola'') ni jina la kawaida kwa [[mnyama|wanyama]] wadogo wa [[Afrika]] wanaofanana na [[swala]] na walio na pembe fupi. Huainishwa katika [[nususfamilia]] [[Cephalophinae]] ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. [[Paa-chonge]] ni wanyama wengine katika familia [[Tragulidae]].


==Spishi==
==Spishi==

Pitio la 16:20, 1 Aprili 2016

Paa
Nsya (Sylvicapra grimmia)
Nsya
(Sylvicapra grimmia)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Cephalophinae (Wanyama wanaofanana na paa)
J. E. Gray, 1871
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Cephalophus C. H. Smith, 1827
Philantomba Blyth, 1840
Sylvicapra Ogilby, 1837

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paa (ing. duiker; huitwa pia: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni jina la kawaida kwa wanyama wadogo wa Afrika wanaofanana na swala na walio na pembe fupi. Huainishwa katika nususfamilia Cephalophinae ya familia Bovidae. Paa-chonge ni wanyama wengine katika familia Tragulidae.

Spishi

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paa (Bovidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.