[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Paa (Bovidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 04:20, 20 Januari 2011 na Mjanja (majadiliano | michango) (Paa (Mnyama) umesogezwa hapa Paa (Bovidae))
Paa
Nsya Sylvicapra grimmia
Nsya Sylvicapra grimmia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Nusufamilia: Cephalophinae (Wanyama kama paa)

Paa (pia huitwa: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni neno la kawaida kwa mnyama mdogo wa Afrika anayefanana na swala na ana pembe fupi.

Spishi