[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Lenovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:07, 22 Machi 2023 na FireDragonValo (majadiliano | michango) (Replaced Lenovo logo (2015 onwards).png with Lenovo logo (2015 onwards) 2.svg)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Lebo yake.

Lenovo ni kampuni ya China inayotengeneza kompyuta, kompyuta bapa, kompyuta mpakato, na vifaa vingine.

Lenovo ilianzishwa mwaka 1984 huko Beijing, ilipata biashara ya kompyuta ya IBM mwaka 2005 na ilikubali kupata biashara yake ya seva ya Intel mnamo Januari 2014.

Pia Lenovo ina matoleo mbalimbali kama vile Lenovo Yoga 2 Pro n.k

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lenovo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.