Kiwavi
Mandhari
Kiwavi ni hali ya metamofosisi ya mdudu wa oda ya Lepidoptera (wadudu kama vipepeo na nondo). Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba.
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kiwavi hunanza kama yai. Inatoka kwa umbo la kiwavi. Baada ya muda kiwavi huwa bundo. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla ni metamofosisi.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwavi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |