Kiwavi
Mandhari
Kiwavi ni hali ya maendeleo ya mdudu wa oda ya Lepidoptera (wadudu kama vipepeo). Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |