Kisranan
Mandhari
Kisranan (Sranan Tongo, yaani Suriname Tongue kwa Kiingereza) ni krioli ya Kiingereza inayotumika nchini Surinam na watu 520,000 hivi (2018).
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisranan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |