[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kifwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:49, 28 Mei 2023 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.4)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kifwe ni lugha ya Kibantu nchini Namibia inayozungumzwa na Wafwe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kifwe nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 10,200. Pia kuna wasemaji nchini Zambia na BotswanaKufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifwe iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.