[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kemikali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:03, 27 Mei 2022 na Leyo (majadiliano | michango) (original file)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Orange potassium dichromate

Kemikali (pia: tindikali) ni dutu yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya elementi za kikemia. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja muungo wa kikemia.

Kemikali inaweza kupatikana kama

Kemikali zinazopatikana nyumbani hujumuisha maji, chumvi na klorini (buluu).

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kemikali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.