[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Jenasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:04, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 91 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34740 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi

Jenasi (kutoka Kigiriki Γένος genos / Kilatini genus "nasaba, ukoo, familia, aina")[1] ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi unaopanga viumbehai (mimea, wanyama) katika vikundi kulingana na nasaba zao.

Jenasi moja huwa na spishi ndani yake. Jenasi kwa pamoja hupangwa katika familia.

Katika jina la Kisayansi la kiumbehai ni lazima kutaja jenasi. Kwa mfano paka anaitwa "Felis silvestris catus". Felis ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.

  1. kwa uwingi wa jenasi kuna pia neno "jenera" ambayo ni uwingi wa Kilatini unaotumiwa pia kwa Kiingereza
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.