[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Bara la Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki]]
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki]]
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha Kisayansi katika Antaktiki]]
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha Kisayansi katika Antaktiki]]
'''Antaktiki''' ni [[bara]] lililopo kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]].
'''Antaktiki''' ni [[bara]] kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]]. Kwa sababu ya [[baridi]] kali katika bara hii, ni bara ya pekee ambapo hawaishi [[binadamu]] wowote isipokuwa kuna wanasayansi wanaokaa kwa muda katika vituo vyao. Jina "Antaktiki" latokana na lugha ya Kigiriki likimaanisha "kinyume cha Aktiki" na [[Aktiki]] ni eneo karibu na [[ncha ya kaskazini]].


Jina "Antaktiki" linatokana na [[lugha]] ya [[Kigiriki]] likimaanisha "kinyume cha [[Aktiki]]", ambapo [[Aktiki]] ni eneo karibu na [[ncha ya kaskazini]].
Takriban 98% za eneo la bara lafunikwa na theluji na barafu. Bara liko kati ya bahari za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]]. Eneo lake ni kubwa kushinda Ulaya lakini hakuna mti hata mmoja. Bara hili linajulikana kama [[jangwa]]


Takriban 98% za eneo la bara limefunikwa na [[theluji]] na [[barafu]]. Kwa sababu ya [[baridi]] kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako hawaishi [[binadamu]] wowote isipokuwa kuna [[wanasayansi]] wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.
Kuna [[volkeno]] hai moja inayotema moto barani ni mlima wa [[Mount Erebus]].


Eneo lake ni kubwa kushinda [[Ulaya]] lakini hakuna [[mti]] hata mmoja. Bara hili linajulikana kama [[jangwa]] baridi.


Bara liko kati ya [[bahari]] za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]].
== Viungo vya Nje ==

Kuna [[volkeno]] hai moja inayotema [[moto]] baraniː ni [[mlima]] wa [[Mount Erebus]].

== Viungo vya nje ==
* [http://apc.mfa.government.bg/ Antarctic Place-names Commission of Bulgaria]
* [http://apc.mfa.government.bg/ Antarctic Place-names Commission of Bulgaria]
* [http://www.webcitation.org/query?id=1256604067480067&url=www.geocities.com/apcbg/Map-0.113.html L.L. Ivanov et al, Topographic map of Livingston Island and Greenwich Island]
* [http://www.webcitation.org/query?id=1256604067480067&url=www.geocities.com/apcbg/Map-0.113.html L.L. Ivanov et al, Topographic map of Livingston Island and Greenwich Island]

Pitio la 05:10, 25 Oktoba 2015

Antaktiki
Antaktiki
Kituo cha Kisayansi katika Antaktiki

Antaktiki ni bara lililopo kwenye ncha ya kusini ya dunia.

Jina "Antaktiki" linatokana na lugha ya Kigiriki likimaanisha "kinyume cha Aktiki", ambapo Aktiki ni eneo karibu na ncha ya kaskazini.

Takriban 98% za eneo la bara limefunikwa na theluji na barafu. Kwa sababu ya baridi kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako hawaishi binadamu wowote isipokuwa kuna wanasayansi wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.

Eneo lake ni kubwa kushinda Ulaya lakini hakuna mti hata mmoja. Bara hili linajulikana kama jangwa baridi.

Bara liko kati ya bahari za Pasifiki, Atlantiki na Bahari Hindi.

Kuna volkeno hai moja inayotema moto baraniː ni mlima wa Mount Erebus.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.