[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Bara la Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5

(marekebisho 11 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Antarctica (orthographic projection).svg|thumb|right|Bara la Antaktiki]]
[[Picha:LocationAntarctica.png|thumb|right|Antaktiki (kijani) katika [[ramani]] ya [[dunia]].]]
[[Picha:LocationAntarctica.png|thumb|right|Antaktiki (kijani) katika [[ramani]] ya [[dunia]].]]
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki kutoka [[anga|angani]].]]
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki kutoka [[anga|angani]].]]
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha ki[[sayansi]] katika Antaktiki.]]
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha ki[[sayansi]] katika Antaktiki.]]
'''Antaktiki''' ni [[bara]] lililopo kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]].
'''Antaktiki''' ni [[bara]] lililopo kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]], kati ya [[bahari]] za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]].

Jina "Antaktiki" linatokana na [[lugha]] ya [[Kigiriki]] likimaanisha "kinyume cha [[Aktiki]]", ambapo [[Aktiki]] ni eneo karibu na [[ncha ya kaskazini]].
Jina "Antaktiki" linatokana na [[lugha]] ya [[Kigiriki]] likimaanisha "kinyume cha [[Aktiki]]", ambapo [[Aktiki]] ni eneo karibu na [[ncha ya kaskazini]].

Bara hili lina eneo la kilomita za mraba milioni 14 na eneo hili limefunikwa karibu kabisa, yaani kwa asilimia 98% za eneo na [[theluji]] na [[barafu]].
Bara hili lina eneo la kilomita za mraba milioni 14 na eneo hili limefunikwa karibu kabisa, yaani kwa asilimia 98% za eneo na [[theluji]] na [[barafu]]. Eneo lake ni kubwa kushinda [[Ulaya]] lakini hakuna [[mti]] hata mmoja. Bara hili linajulikana kama [[jangwa]] baridi.

Kwa sababu ya [[baridi]] kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako [[binadamu]] hawaishi kwa namna ya kudumu, isipokuwa kuna watu 5,000, hasa [[wanasayansi]], wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.
Kwa sababu ya [[baridi]] kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako [[binadamu]] hawaishi kwa namna ya kudumu, isipokuwa kuna watu 5,000, hasa [[wanasayansi]], wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.

<gallery>
File: 061212-nordkapp.jpg
File:GletscherMM.jpg
File:Fryxellsee Opt.jpg
File:Mount Erebus Aerial 2.jpg
File:Aurore australe - Aurora australis.jpg
</gallery>

==Uvumbuzi==
==Uvumbuzi==
Bara la Antaktiki haikujulikana hadi karne ya 19 lakini wataalamu wa jiografia waliwahi kuhisi tangu [[zama za kale]] ya kwamba eneo kubwa la nchi kavu liko kwenye sehemu ya kusini ya dunia<ref>[http://classics.mit.edu/Aristotle/meteorology.2.ii.html [Aristoteli] (mwaka 350 [KK]) katika fungu la tano la kitabu chake juu ya metrolojia]: "kuna kanda mbili zinazoweza kukaliwa na watu duniani: moja kwa upande wa juu, au karibu na ncha yetu ya kaskazini, nyingine karibu na ncha nyingine, au ncha ya kusini" </ref>. Tangu Aristoteli wataalamu waliamini ya kwamba dunia ilipaswa kuwa na uwiano fulani hivyo kuwepo kwa bara kubwa ingekuwa lazima kuingana na mabara ya nusutufe ya kaskazini. Nchi hii isiyojulikana kwa muda mrefu ukaitwa kwa jina la [[Kilatini]] "terra australis" yaani "nchi ya kusini" na pia kuchorwa kwenye ramani za dunia zilizoanza kutengenezwa tangu safari za wavumbuzi Wareno waliozunguka dunia mara ya kwanza. Ila tu ramani hizi za kwanza zilikuwa njozi tu.
Bara la Antaktiki halikujulikana hadi [[karne ya 19]], lakini [[wataalamu]] wa [[jiografia]] waliwahi kuhisi tangu [[zama za kale]] ya kwamba eneo kubwa la nchi kavu liko kwenye sehemu ya kusini ya dunia<ref>[http://classics.mit.edu/Aristotle/meteorology.2.ii.html [Aristoteli] (mwaka 350 [KK]) katika fungu la tano la kitabu chake juu ya metrolojia] {{Wayback|url=http://classics.mit.edu/Aristotle/meteorology.2.ii.html |date=20150627200800 }}: "kuna kanda mbili zinazoweza kukaliwa na watu duniani: moja kwa upande wa juu, au karibu na ncha yetu ya kaskazini, nyingine karibu na ncha nyingine, au ncha ya kusini"</ref>.

Kuanzia [[Aristoteli]] wataalamu waliamini ya kwamba dunia ilipaswa kuwa na uwiano fulani, hivyo kuwepo kwa bara kubwa ingekuwa lazima kulingana na mabara ya [[nusutufe]] ya kaskazini. Nchi hii isiyojulikana kwa muda mrefu ikaitwa kwa jina la [[Kilatini]] "terra australis" yaani "nchi ya kusini" na pia kuchorwa kwenye [[ramani]] za dunia zilizoanza kutengenezwa tangu safari za [[wavumbuzi]] [[Wareno]] waliozunguka [[dunia]] nzima kwa mara ya kwanza. Ila tu ramani hizi za kwanza zilikuwa kama njozi tu.
Kundi la kwanza wa kufika kusini kwa kutosha na kuona kona ya barafu ya Antaktiki lilikuwa mwaka 1820 msafara wa kisayansi wa nahodha [[Fabian von Bellingshausen]] (Mjerumani Baltiki katika utumishi wa Tsar wa Urusi) akifuatwa mwaka uleule na nahodha [[Edward Bransfield]] wa Uingereza na tena Mmarikani [[Nathaniel Palmer]]. Ila tu hakuna uhakika kama wavumbuzi hao walitambua tayari ya kwamba waliona bara jipya<ref>[http://journals.cambridge.org/action/displayAbstract?fromPage=online&aid=5654852 Terence Armstrong, Bellingshausen and the discovery of Antarctica, Polar Record / Volume 15 / Issue 99 / September 1971, pp 887-889]</ref>.

Kundi la kwanza la watu kufika kusini kwa kutosha na kuona kona ya [[barafu]] ya Antaktiki lilikuwa mwaka [[1820]] msafara wa kisayansi wa [[nahodha]] [[Fabian von Bellingshausen]] ([[Mjerumani]] Baltiki katika utumishi wa [[Tsar]] wa [[Urusi]]) akifuatwa mwaka uleule na nahodha [[Edward Bransfield]] wa [[Uingereza]] na tena [[Marekani|Mmarekani]] [[Nathaniel Palmer]].
Pamoja na taarifa za mabaharia wengine waliopita kwenye pwani bado haikueleweka kama hapa karibu na ncha ya kusini kulikuwa na visiwa mbalimbali au nchi kavu zaidi. Ni misafara ya Wafaransa na Wamarekani mnamo mwaka 1840 iliyoweza kuthebitisha ya kwamba ncha ya kusini ilipatikana ndani ya bara jipya. Sasa shauku ya upelelezi ilififia kwa sababu haikueleweka kuna nini katika bara jipya.

Ila tu hakuna uhakika kama wavumbuzi hao walitambua tayari ya kwamba waliona bara jipya<ref>{{Cite web |url=http://journals.cambridge.org/action/displayAbstract?fromPage=online&aid=5654852 |title=Terence Armstrong, Bellingshausen and the discovery of Antarctica, Polar Record / Volume 15 / Issue 99 / September 1971, pp 887-889 |accessdate=2016-03-08 |archive-date=2016-08-20 |archive-url=https://web.archive.org/web/20160820015246/http://journals.cambridge.org/action/displayAbstract?fromPage=online |url-status=dead }}</ref>.
Tangu mwaka 1890 Shirika la Kifalme la Jiografia (Royal Geographic Society) nchini Uingereza lilianza upya kusisitiza umuhimu wa utafiti wa Antaktiki iliyokuwa sehemu ya mwisho wa dunia isiyochunguliwa bado kabisa. Misafara mbalimbali kutoka nchi tofauti ilifuatana sasa na kupeleleza Antaktiki:
* 1907 [[Ncha_ya_kusini#Ncha_sumaku_ya_kusini|ncha sumaku ya kusini]] ilifikiwa na msafara wa Mwingereza Ernest Shackleton
* 1910 misafara miwili kutoka Norwei na Uingereza ilishindana kufika [[Ncha_ya_kusini#Ncha_ya_kusini_ya_Kijiografia|ncha ya kusini ya kijiografia]]. Mnorwei [[Roald Amundsen]] alikuwa wa kwanza kufika nchani tarehe 14 Disemba 1910 akarudi salama kwa meli yake. Kundi la Mwingereza [[Robert Scott]] likachelewa siku 33 likakuta bendera ya Norwei na hema ya Amundsen. Kwenye njia ya kurudi Scott alipata hali ya hewa mbaya akaishia chakula chote akafa pamoja na wenzake katika barafu.

Pamoja na taarifa za [[baharia|mabaharia]] wengine waliopita kwenye [[pwani]] bado haikueleweka kama huko karibu na ncha ya kusini kulikuwa na [[visiwa]] mbalimbali au nchi kavu kubwa zaidi.
Katika miaka iliyofuata idadi ya misafara iliongezeka. Tangu 1929 eropleni zilitumika pia katika upelelezi. Ni hasa Mmarekani Richard Byrd aliyeongoza misafara kadhaa akitumia ndege akaweza kuweka msingi kwa ramani kamili ya Antaktiki.

Ni misafara ya [[Wafaransa]] na Wamarekani mnamo mwaka [[1840]] iliyoweza kuthibitisha ya kwamba ncha ya kusini ilipatikana ndani ya bara jipya. Sasa shauku ya upelelezi ilififia kwa sababu haikueleweka kuna nini katika bara jipya.

Tangu mwaka [[1890]] Shirika la Kifalme la Jiografia (Royal Geographic Society) nchini Uingereza lilianza upya kusisitiza umuhimu wa [[utafiti]] wa Antaktiki iliyokuwa sehemu ya mwisho wa dunia isiyochunguliwa bado kabisa. Hapo misafara mbalimbali kutoka nchi tofauti ilifuatana na kupeleleza Antaktiki:
* Mwaka [[1907]] [[Ncha_ya_kusini#Ncha_sumaku_ya_kusini|ncha sumaku ya kusini]] ilifikiwa na msafara wa Mwingereza [[Ernest Shackleton]]
* Mwaka [[1910]] misafara miwili kutoka [[Norwei]] na Uingereza ilishindana kufika [[Ncha_ya_kusini#Ncha_ya_kusini_ya_Kijiografia|ncha ya kusini ya kijiografia]]. Mnorwei [[Roald Amundsen]] alikuwa wa kwanza kufika nchani tarehe [[14 Disemba]] 1910 akarudi salama kwa [[meli]] yake. Kundi la Mwingereza [[Robert Scott]] likachelewa siku 33 likakuta [[bendera]] ya Norwei na [[hema]] la Amundsen. Kwenye njia ya kurudi Scott alikuta [[hali ya hewa]] mbaya akaishiwa [[chakula]] chote akafa pamoja na wenzake katika barafu.

Katika miaka iliyofuata [[idadi]] ya misafara iliongezeka. Tangu mwaka [[1929]] [[eropleni]] zilitumika pia katika upelelezi. Ni hasa Mmarekani [[Richard Byrd]] aliyeongoza misafara kadhaa akitumia [[Ndege (uanahewa)|ndege]] akaweza kuweka msingi wa ramani kamili ya Antaktiki.

==Jiografia==
==Jiografia==
[[Picha:Antarctica.svg|450px|thumbnail|Ramani ya Antaktiki]]
[[Picha:Bahari zinazopakana na Antaktiki.png|450px|thumbnail|Ramani ya Antaktiki]]
Nchi ya bara la Antaktiki ina takriban umbo la duara isiyo kamili ikizunguka ncha ya kusini. pande zote inapakana na bahari ni mahali ambako maji ya kusini ya Pasifiki, Atlantiki na Bahari Hindi inakutana. Kwa namna nyingine inawezekana kusema inazungukwa na [[Bahari ya Kusini]]. Eneo lake ni zaidi ya kilomita za mraba milioni 14 ni bara la tano duniani kwa ukubwa. Umbali kutoka pwani na pwani uko baina kilomita 4,500 na 5,600. <ref>ilhali ncha ya kusini iko takriban katikati ya bara, kila upande kutoka hapa uko kaskazini.</ref> Pwani ina urefu wa kilomita 17,968.
Bara la Antaktiki lina takriban [[umbo]] la [[duara]] isiyo kamili ikizunguka ncha ya kusini. Pande zote inapakana na bahari: ni mahali ambako [[maji]] ya kusini ya [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]] yanakutana. Kwa namna nyingine inawezekana kusema inazungukwa na [[Bahari ya Kusini]].
Eneo lake ni zaidi ya [[kilomita za mraba]] milioni 14, hivyo ni bara la tano duniani kwa ukubwa.
[[Umbali]] kutoka pwani hadi pwani uko baina ya kilomita 4,500 na 5,600.<ref>Ilhali ncha ya kusini iko takriban katikati ya bara, kila upande kutoka huko uko kaskazini.</ref> Pwani ina [[urefu]] wa kilomita 17,968.

===Sehemu za Antaktiki===
===Sehemu za Antaktiki===
Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki (ing. ''Transantarctic Mountains'') inagawa bara kwa sehemu mbili za Antaktiki Magharibi na Antaktiki Mashariki. Mpaka huu unalingana takriban na [[longitudo]] ya 180.
[[Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki]] (kwa [[Kiingereza]] ''Transantarctic Mountains'') inagawa bara katika sehemu mbili za Antaktiki Magharibi na Antaktiki Mashariki. [[Mpaka]] huu unalingana takriban na [[longitudo]] ya 180.

* Antaktiki Magharibi ni upande ndogo zaidi. Ndani yake inagawiwa kwa rasi kadhaa kwa hiyo ina athira ya tabianchi kutoka bahari. Hata kama sehemu kubwa inafunikwa na barafu halijoto haishuki chini mno jinsi ilivyo upande wa mashariki. Rasi kubwa ni Rasi ya Antaktiki (ing. ''Antarctic Peninsula'')
*Antaktiki Magharibi ni upande mdogo zaidi. Ndani yake inagawiwa kwa [[rasi]] kadhaa kwa hiyo ina athira ya [[tabianchi]] kutoka bahari. Hata kama sehemu kubwa inafunikwa na barafu [[halijoto]] haishuki chini mno jinsi ilivyo upande wa mashariki. Rasi kubwa ni [[Rasi ya Antaktiki]] (ing. ''Antarctic Peninsula'')

*Antaktiki Mashariki inafana zaidi na nusutufe hakuna rasi au hori kubwa. Kwa hiyo tabianchi ni zaidi ya kibara. Uso unafunikwa na ganda la barafu lenye unene wa kilomita 1.6 au zaidi. Halijoto ya duni inayojulikana ilipimika 1983 kuwa sentigredi 89,4 chini ya sifuri.
*Antaktiki Mashariki inafanana zaidi na nusutufe, hakuna rasi au [[hori]] kubwa. Kwa hiyo tabianchi ni zaidi ya kibara. Uso unafunikwa na [[ganda la barafu]] lenye [[unene]] wa kilomita 1.6 au zaidi. Halijoto ya duni inayojulikana ilipimika mwaka [[1983]] kuwa [[sentigredi]] 89,4 chini ya [[sifuri]].

===Visiwa===
===Visiwa===
[[Picha:Berkner Island SAT.png|250px|thumbnail|Kisiwa cha Berkner jinsi inavyoonekana chini ya ngao ya barafu kwenye picha ya satelaiti]]
[[Picha:Berkner Island SAT.png|250px|thumbnail|Kisiwa cha Berkner jinsi inavyoonekana chini ya ngao ya barafu kwenye picha ya [[satelaiti]]]]
Visiwa kadhaa vinahesabiwa kuwa sehemu za Antaktiki. Sehemu ya visiwa hivi viko ndani ya maji ya bahari. Vingine inafunikwa kwa barafu ya kudumu na hivyo haionekani mara moja ya kwamba kuna kisiwa maana sehemu nyingi ngao nene la barafu ya kudumu linaingia baharini nje ya pwani.
Visiwa kadhaa vinahesabiwa kuwa sehemu za Antaktiki. Baadhi ya visiwa hivyo viko ndani ya maji ya bahari. Vingine vinafunikwa na barafu ya kudumu na hivyo haionekani mara moja ya kwamba kuna kisiwa, maana sehemu nyingi ngao nene ya barafu ya kudumu inaingia baharini nje ya pwani.

Visiwa hivi ni pamoja na
Visiwa hivi ni pamoja na
* Kisiwa cha Alexander ambacho ni kisiwa kikubwa cha Antaktiki; kina upana wa kilomita 200 na urefu wa kilomita 378 na eneo la 49,070 km². Kinatengwa na bara kwa mfereji wa bahari mwenye upana wa kilomita 24-60 lakini yote inafunikwa kwa barafu ya kudumu ila tu sehemu ya pwani inaiongia katika maji ya bahari
* [[Kisiwa cha Alexander]] ambacho ni kisiwa kikubwa cha Antaktiki; kina upana wa kilomita 200, urefu wa kilomita 378 na eneo la km² 49,070. Kinatengwa na bara kwa mfereji wa bahari mwenye upana wa kilomita 24-60, lakini yote inafunikwa kwa barafu ya kudumu ila tu sehemu ya pwani inaiongia katika maji ya bahari.
* Kisiwa cha Berkner ambacho ni kisiwa kikubwa cha pili chenye urefu wa 320 km na upana wa 135 km na eneo la 43,873 km². Kinafunikwa kabisa na ngao ya barafu hakionekani hata kutoka baharini.
* [[Kisiwa cha Berkner]] ambacho ni kisiwa kikubwa cha pili chenye urefu wa 320 km, upana wa 135 km na eneo la km² 43,873. Kinafunikwa kabisa na [[ngao ya barafu]], hakionekani hata kutoka baharini.
* Visiwa vya Joinville, Roosevelt, Ross na kadhalika
* Visiwa vya Joinville, Roosevelt, Ross na kadhalika.

===Milima===
===Milima===
[[Picha:Transantarctic mountain hg.jpg|250px|thumbnail|Ncha za Milima ya kuvukia Antaktiki zinaonekana juu ya ngao ya barafu ya kudumu]]
[[Picha:Transantarctic mountain hg.jpg|250px|thumbnail|Ncha za Milima ya kuvukia Antaktiki zinaonekana juu ya ngao ya barafu ya kudumu]]
Miilima mingi ni sehemu ya Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki (au: milima transaktiki) ambayo ni safu ndefu yenye urefu wa kilomita 3,500 na kifikia kimo cha mita 4500 na zaidi. Ncha za milima mirefu yake zinaonekana juu ya uso wa ngao ya barafu inayofunika bara lote. Mlima mrefu katika safu hii ni Mount Kirkpatrick yenye urefu wa mita 4528 [[juu ya UB]].
Milima mingi ni sehemu ya Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki (au: milima transaktiki) ambayo ni safu ndefu yenye urefu wa kilomita 3,500 na kufikia [[kimo]] cha mita 4500 na zaidi. Ncha za milima yake mirefu zinaonekana juu ya uso wa ngao ya barafu inayofunika bara lote. Mlima mrefu katika safu hii ni [[Mlima Kirkpatrick]] wenye urefu wa mita 4528 [[juu ya UB]].

Pale ambako Rasi ya Antaktiki inaanza kuna safu ya milima ya Ellsworth na hapa uko mlima mrefu kabisa wa bara ni Mount Vinson yenye mita 4,892 juu ya UB.
Pale ambako Rasi ya Antaktiki inaanza kuna safu ya [[milima ya Ellsworth]] na huko uko mlima mrefu kabisa wa bara: ni [[Mlima Vinson]] wenye mita 4,892 juu ya UB.

Kuna pia [[volkeno]] kadhaa, nyingine zinalala nyingine ziko hai. Volkeno hai ndefu ni Mount Erebus yenye kimo cha mita 3,794, iko kwenye kisiwa cha Ross.
Kuna pia [[volkeno]] kadhaa, [[volkeno zimwe|nyingine zimelala]], nyingine ziko [[volkeno hai|hai]]. Volkeno hai ndefu inayotema [[moto]] barani ni [[Mlima Erebus]] wenye kimo cha mita 3,794: iko kwenye [[kisiwa cha Ross]].

===Ngao ya barafu ya kudumu===
===Ngao ya barafu ya kudumu===
[[Picha:Antarctica interglacial hg.png|300px|thumbnail|Ramani inaonyesha unene na uenezi wa ngao ya barafu ya Antaktiki:
- Rangi za buluu zinaonyesha unene wa ngao ya barafu kwa kutumia hatua za mita 1,000;
- buluu-nyeupe ni ngao ya barafu inapofunika maji ya bahari
- mistari minene: miinuko inayogawa mwendo wa barafu
- mistari membamba: mielekeo ya mwendo wa barafu
- nyekundu: sehemu zisizofunikwa na barafu]]
[[Picha:Antarctica interglacial hg.png|300px|thumbnail|Ramani inaonyesha unene na uenezi wa ngao ya barafu ya Antaktiki:
- Rangi za buluu zinaonyesha unene wa ngao ya barafu kwa kutumia hatua za mita 1,000;
- buluu-nyeupe ni ngao ya barafu inapofunika maji ya bahari
- mistari minene: miinuko inayogawa mwendo wa barafu
- mistari membamba: mielekeo ya mwendo wa barafu
- nyekundu: sehemu zisizofunikwa na barafu]]
Tabia ya pekee ya Antaktiki ni nago ya barafu inayofunika karibu uso wote wa nchi yake pamoja na sehemu za bahari ya karibu. Ngao ya barafu hii ni mkusanyiko mkubwa wa barafu duniani. Unene yake (yaani kimo juu ya ardhi) unafikia hadi mita 4,500.
Tabia ya pekee ya Antaktiki ni ngao ya barafu inayofunika karibu uso wote wa nchi yake pamoja na sehemu za bahari ya karibu. Ngao ya barafu hii ni mkusanyiko mkubwa wa barafu duniani. Unene wake (yaani kimo juu ya ardhi) unafikia hadi mita 4,500.
Ngao ya barafu inajumlisha
Ngao ya barafu inajumlisha
* asilimia 90 ya barafu yote duniani
* asilimia 90 ya barafu yote duniani
* asilimia 70 ya maji matamu yote duniani
* asilimia 70 ya [[maji matamu]] yote duniani

Ni asilimia 2-3 za eneo lote la bara zisizofunika kwa barafu yaani 280,000 km².
Ni asilimia 2-3 za eneo lote la bara zisizofunikwa na barafu, yaani km² 280,000 tu.

Ngao hiyo ilianza kutokea miaka milioni kadhaa iliyopita. Uzito wake ni mkubwa na inaaminiwa ya kwamba bara lote lilishuka chini kiasi na kama siku moja ngao ya barafu ingepotea itapanda tena juu kwa mita kadhaa.
Ngao hiyo ilianza kutokea miaka [[milioni]] kadhaa iliyopita. [[Uzito]] wake ni mkubwa na inaaminiwa ya kwamba bara lote lilishuka chini kiasi na kama siku moja ngao ya barafu itapotea litapanda tena juu mita kadhaa.

Barafu hii inashika maji mengi kiasi ya kwamba kama barafu yote itayeyuka siku moja uwiano wa bahari duniani kote itapanda juu takriban mita 61.
Barafu hii inashika maji mengi kiasi kwamba kama barafu yote itayeyuka siku moja uwiano wa bahari duniani kote itapanda juu takriban mita 61.

==Mito, maziwa na barafuto==
==Mito, maziwa na barafuto==
[[Picha:Lake Vostok Sat Photo color.jpg|300px|thumbnail|Ziwa la Lake Vostok - uso wa ziwa unaonekana kama eno tambarare; wakati wa joto kuna maji]]
[[Picha:Lake Vostok Sat Photo color.jpg|300px|thumbnail|Ziwa la Lake Vostok - uso wa ziwa unaonekana kama eno tambarare; wakati wa joto kuna maji]]
[[Picha:GletscherMM.jpg|300px|thumbnail|[[Barafuto]] kubwa (mto wa barafu) barani Antaktiki]]
[[Picha:GletscherMM.jpg|300px|thumbnail|[[Barafuto]] kubwa (mto wa barafu) barani Antaktiki]]
Tabia ya pekee ya Antaktiki ni pia uhaba wa mito. Mito yote inayotokea ni ya maji ya barafu ya kuyeyuka wakati wa "majira ya joto" katika miezi ya Februari na Machi. Katika sehemu nyingien ya mwaka mito yote inaonekana kama kanda la barafu. Mto mkubwa ni Onyx River inayofikia urefu wa kilomita 30 ukiishia katika Ziwa Vanda. Mito haina samaki lakini kuna mikrobi na algae katika mito mikubwa zaidi.
Tabia ya pekee ya Antaktiki ni pia uhaba wa [[mito]]. Mito yote inayotokea ni ya maji ya barafu ya kuyeyuka wakati wa "[[majira ya joto]]" katika miezi ya Februari na Machi. Katika sehemu nyingine ya mwaka mito yote inaonekana kama kanda la barafu. Mto mkubwa ni [[mto Onyx|Onyx]] unaofikia urefu wa kilomita 30 ukiishia katika [[Ziwa Vanda]].

Mito haina [[samaki]], lakini katika ile mikubwa zaidi kuna [[mikrobi]] na [[algae]].
Kuna maziwa kadhaa chini ya ngao la barafu. Hata kama jotoridi yao ni chini ya sentighredi 0 badi yanaweza kuwa na maji ya kiowevu kwa sababu shinikizo kubwa ya ngao ya barafu inashusha halijoto ya kugnadisha maji hasa kama maji ni ya chumvi.

Kuna [[Ziwa|maziwa]] kadhaa chini ya ngao ya barafu. Hata kama [[jotoridi]] yake ni chini ya [[sentigredi 0]] baadhi yanaweza kuwa na maji ya [[kiowevu]] kwa sababu shinikizo kubwa ya ngao ya barafu linashusha halijoto ya kugandisha maji, hasa kama [[maji ya chumvi|maji ni ya chumvi]].
Barafu ya ngao haikai kimyakimya lakini yote ina mwendo ikifuata mtelemko wa usio wa nchi. Katika sehemu kadhaa barafu ina mwendo wa haraka zaidi na sehemu hizi zinaitwa "mito ya barafu" na ni aina ya [[barafuto]]. Mito ya barafu hii iko yenye urefu hadi kilomita mamia na upana wa 50 km na unene wa kilomita 2. Mwendo unafikia hadi mita 1.000 kwa mwaka. Pale inafikia kwenye ufuko wa bahari inajenga ulimi ya barafu inayosukumwa katika maji.

Barafu ya ngao haikai kimyakimya lakini yote ina mwendo ikifuata mtelemko wa uso wa nchi. Katika sehemu kadhaa barafu ina mwendo wa haraka zaidi na sehemu hizi zinaitwa "mito ya barafu" na ni aina ya [[barafuto]]. Mito ya barafu hii iko yenye urefu hadi kilomita mia kadhaa, upana wa 50 km na unene wa kilomita 2. Mwendo unafikia hadi mita 1.000 kwa mwaka. Pale inafikia kwenye [[ufuko]] wa bahari inajenga ulimi wa barafu inayosukumwa katika maji.

==Hali ya Kisiasa==
==Hali ya kisiasa==
[[file:Antaktiki kisiasa.png|thumb|350px|Madai ya mataifa katika Antaktiki]]
[[file:Antaktiki kisiasa.png|thumb|350px|Madai ya mataifa katika Antaktiki]]
Antaktiki si nchi wala dola na hakuna wenyeji au wananachi. Lakini madola mbalimbali yalitangaza madai ya kutawala sehemu za eneo lake. Madai haya hayalingani na mara kadhaa kuna mataifa mbalimbali yanayodai sehmu ileile.
Antaktiki si nchi wala [[dola]] na hakuna wenyeji au wananchi. Lakini madola mbalimbali yalitangaza madai ya kutawala sehemu za eneo lake. Madai haya hayalingani na mara kadhaa kuna [[Taifa|mataifa]] mbalimbali yanayodai sehemu ileile.

Mataifa yanayodai kutawala sehemu za Antaktiki ni pamoja na Argentina, Australia, Chile, Ufaransa, New Zealand, Norwei na Ufalme wa Maungano.
Mataifa yanayodai kutawala sehemu za Antaktiki ni pamoja na [[Argentina]], [[Australia]], [[Chile]], [[Ufaransa]], [[New Zealand]], [[Norwei]] na [[Ufalme wa Maungano]].

Tangu 1961 kuna Mkataba wa Kimataifa kuhusu Antaktiki unaosimamisha madai yote ya utawala bila kuyafuta. Mataifa yote yana haki ya kuwa na vituo vya kisayansi. Mapatanao ya kando yaliweka masharti makali kwa shughuli za kiuchumi na hado sasa imewezekana kuzuia migodi na uchimbaji wa madini.
Tangu mwaka [[1961]] kuna [[Mkataba wa Kimataifa kuhusu Antaktiki]] unaosimamisha madai yote ya [[utawala]] bila kuyafuta. Mataifa yote yana [[haki]] ya kuwa na vituo vya kisayansi. Mapatano ya kando yaliweka masharti makali kwa shughuli za [[uchumi|kiuchumi]] na hadi sasa imewezekana kuzuia [[migodi]] na [[uchimbaji]] wa [[madini]].

==Mengineyo==
==Mengineyo==
[[Mtoto]] wa kwanza kuzaliwa barani huko alizaliwa mwaka [[1984]]. Kwa sasa kuna [[shule]] kadhaa na [[kanisa]] moja.
[[Mtoto]] wa kwanza kuzaliwa barani huko alizaliwa mwaka [[1984]]. Kwa sasa kuna [[shule]] kadhaa na [[kanisa]] moja la [[Waorthodoksi]] Warusi.

Eneo lake ni kubwa kushinda [[Ulaya]] lakini hakuna [[mti]] hata mmoja. Bara hili linajulikana kama [[jangwa]] baridi.

Bara liko kati ya [[bahari]] za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]].

Kuna [[volkeno]] hai moja inayotema [[moto]] baraniː ni [[mlima]] wa [[Mount Erebus]].

==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 96: Mstari 110:

== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* [https://www.webcitation.org/query?id=1256604067480067&url=www.geocities.com/apcbg/Map-0.113.html L.L. Ivanov et al, Topographic map of Livingston Island and Greenwich Island]
* [http://apc.mfa.government.bg/ Antarctic Place-names Commission of Bulgaria]
* [http://www.webcitation.org/query?id=1256604067480067&url=www.geocities.com/apcbg/Map-0.113.html L.L. Ivanov et al, Topographic map of Livingston Island and Greenwich Island]
{{Sister project links|voy=Antarctica|n=Portal:Antarctica|m=no|mw=no}}
{{Sister project links|voy=Antarctica|n=Portal:Antarctica|m=no|mw=no}}
{{Wikisource|CIA World Fact Book, 2004/Antarctica}}
{{Wikisource|CIA World Fact Book, 2004/Antarctica}}
*{{In Our Time|Antarctica.|b00ss2th|Antarctica. }}
*{{dmoz|Regional/Polar_Regions/Antarctic/|Antarctic region}}
*{{dmoz|Regional/Polar_Regions/Antarctic/|Antarctic region}}
*{{CIA World Factbook link|ay|Antarctica}}
*{{CIA World Factbook link|ay|Antarctica}}
*[http://www.bsae2012.co.uk/ British Services Antarctic Expedition 2012]
*[http://www.bsae2012.co.uk/ British Services Antarctic Expedition 2012] {{Wayback|url=http://www.bsae2012.co.uk/ |date=20120330163717 }}
*[http://www.ats.aq/ Antarctic Treaty Secretariat], ''de facto'' government
*[http://www.ats.aq/ Antarctic Treaty Secretariat], ''de facto'' government
*[http://www.antarctica.ac.uk/ British Antarctic Survey (BAS)]
*[http://www.antarctica.ac.uk/ British Antarctic Survey (BAS)]
Mstari 119: Mstari 131:
*[https://www.youtube.com/watch?v=_om9h7vQXh0 Video: The Bedrock Beneath Antarctica]
*[https://www.youtube.com/watch?v=_om9h7vQXh0 Video: The Bedrock Beneath Antarctica]

[[Jamii:Antaktika]]

[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Bara]]
[[Jamii:Bara]]

Toleo la sasa la 19:51, 13 Julai 2024

Bara la Antaktiki
Antaktiki (kijani) katika ramani ya dunia.
Antaktiki kutoka angani.
Kituo cha kisayansi katika Antaktiki.

Antaktiki ni bara lililopo kwenye ncha ya kusini ya dunia, kati ya bahari za Pasifiki, Atlantiki na Bahari Hindi.

Jina "Antaktiki" linatokana na lugha ya Kigiriki likimaanisha "kinyume cha Aktiki", ambapo Aktiki ni eneo karibu na ncha ya kaskazini.

Bara hili lina eneo la kilomita za mraba milioni 14 na eneo hili limefunikwa karibu kabisa, yaani kwa asilimia 98% za eneo na theluji na barafu. Eneo lake ni kubwa kushinda Ulaya lakini hakuna mti hata mmoja. Bara hili linajulikana kama jangwa baridi.

Kwa sababu ya baridi kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako binadamu hawaishi kwa namna ya kudumu, isipokuwa kuna watu 5,000, hasa wanasayansi, wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.

Uvumbuzi

[hariri | hariri chanzo]

Bara la Antaktiki halikujulikana hadi karne ya 19, lakini wataalamu wa jiografia waliwahi kuhisi tangu zama za kale ya kwamba eneo kubwa la nchi kavu liko kwenye sehemu ya kusini ya dunia[1].

Kuanzia Aristoteli wataalamu waliamini ya kwamba dunia ilipaswa kuwa na uwiano fulani, hivyo kuwepo kwa bara kubwa ingekuwa lazima kulingana na mabara ya nusutufe ya kaskazini. Nchi hii isiyojulikana kwa muda mrefu ikaitwa kwa jina la Kilatini "terra australis" yaani "nchi ya kusini" na pia kuchorwa kwenye ramani za dunia zilizoanza kutengenezwa tangu safari za wavumbuzi Wareno waliozunguka dunia nzima kwa mara ya kwanza. Ila tu ramani hizi za kwanza zilikuwa kama njozi tu.

Kundi la kwanza la watu kufika kusini kwa kutosha na kuona kona ya barafu ya Antaktiki lilikuwa mwaka 1820 msafara wa kisayansi wa nahodha Fabian von Bellingshausen (Mjerumani Baltiki katika utumishi wa Tsar wa Urusi) akifuatwa mwaka uleule na nahodha Edward Bransfield wa Uingereza na tena Mmarekani Nathaniel Palmer.

Ila tu hakuna uhakika kama wavumbuzi hao walitambua tayari ya kwamba waliona bara jipya[2].

Pamoja na taarifa za mabaharia wengine waliopita kwenye pwani bado haikueleweka kama huko karibu na ncha ya kusini kulikuwa na visiwa mbalimbali au nchi kavu kubwa zaidi.

Ni misafara ya Wafaransa na Wamarekani mnamo mwaka 1840 iliyoweza kuthibitisha ya kwamba ncha ya kusini ilipatikana ndani ya bara jipya. Sasa shauku ya upelelezi ilififia kwa sababu haikueleweka kuna nini katika bara jipya.

Tangu mwaka 1890 Shirika la Kifalme la Jiografia (Royal Geographic Society) nchini Uingereza lilianza upya kusisitiza umuhimu wa utafiti wa Antaktiki iliyokuwa sehemu ya mwisho wa dunia isiyochunguliwa bado kabisa. Hapo misafara mbalimbali kutoka nchi tofauti ilifuatana na kupeleleza Antaktiki:

Katika miaka iliyofuata idadi ya misafara iliongezeka. Tangu mwaka 1929 eropleni zilitumika pia katika upelelezi. Ni hasa Mmarekani Richard Byrd aliyeongoza misafara kadhaa akitumia ndege akaweza kuweka msingi wa ramani kamili ya Antaktiki.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]
Ramani ya Antaktiki

Bara la Antaktiki lina takriban umbo la duara isiyo kamili ikizunguka ncha ya kusini. Pande zote inapakana na bahari: ni mahali ambako maji ya kusini ya Pasifiki, Atlantiki na Bahari Hindi yanakutana. Kwa namna nyingine inawezekana kusema inazungukwa na Bahari ya Kusini.

Eneo lake ni zaidi ya kilomita za mraba milioni 14, hivyo ni bara la tano duniani kwa ukubwa.

Umbali kutoka pwani hadi pwani uko baina ya kilomita 4,500 na 5,600.[3] Pwani ina urefu wa kilomita 17,968.

Sehemu za Antaktiki

[hariri | hariri chanzo]

Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki (kwa Kiingereza Transantarctic Mountains) inagawa bara katika sehemu mbili za Antaktiki Magharibi na Antaktiki Mashariki. Mpaka huu unalingana takriban na longitudo ya 180.

• Antaktiki Magharibi ni upande mdogo zaidi. Ndani yake inagawiwa kwa rasi kadhaa kwa hiyo ina athira ya tabianchi kutoka bahari. Hata kama sehemu kubwa inafunikwa na barafu halijoto haishuki chini mno jinsi ilivyo upande wa mashariki. Rasi kubwa ni Rasi ya Antaktiki (ing. Antarctic Peninsula)
• Antaktiki Mashariki inafanana zaidi na nusutufe, hakuna rasi au hori kubwa. Kwa hiyo tabianchi ni zaidi ya kibara. Uso unafunikwa na ganda la barafu lenye unene wa kilomita 1.6 au zaidi. Halijoto ya duni inayojulikana ilipimika mwaka 1983 kuwa sentigredi 89,4 chini ya sifuri.
Kisiwa cha Berkner jinsi inavyoonekana chini ya ngao ya barafu kwenye picha ya satelaiti

Visiwa kadhaa vinahesabiwa kuwa sehemu za Antaktiki. Baadhi ya visiwa hivyo viko ndani ya maji ya bahari. Vingine vinafunikwa na barafu ya kudumu na hivyo haionekani mara moja ya kwamba kuna kisiwa, maana sehemu nyingi ngao nene ya barafu ya kudumu inaingia baharini nje ya pwani.

Visiwa hivi ni pamoja na

• Kisiwa cha Alexander ambacho ni kisiwa kikubwa cha Antaktiki; kina upana wa kilomita 200, urefu wa kilomita 378 na eneo la km² 49,070. Kinatengwa na bara kwa mfereji wa bahari mwenye upana wa kilomita 24-60, lakini yote inafunikwa kwa barafu ya kudumu ila tu sehemu ya pwani inaiongia katika maji ya bahari.
• Kisiwa cha Berkner ambacho ni kisiwa kikubwa cha pili chenye urefu wa 320 km, upana wa 135 km na eneo la km² 43,873. Kinafunikwa kabisa na ngao ya barafu, hakionekani hata kutoka baharini.
• Visiwa vya Joinville, Roosevelt, Ross na kadhalika.
Ncha za Milima ya kuvukia Antaktiki zinaonekana juu ya ngao ya barafu ya kudumu

Milima mingi ni sehemu ya Safu ya Milima ya kuvukia Antaktiki (au: milima transaktiki) ambayo ni safu ndefu yenye urefu wa kilomita 3,500 na kufikia kimo cha mita 4500 na zaidi. Ncha za milima yake mirefu zinaonekana juu ya uso wa ngao ya barafu inayofunika bara lote. Mlima mrefu katika safu hii ni Mlima Kirkpatrick wenye urefu wa mita 4528 juu ya UB.

Pale ambako Rasi ya Antaktiki inaanza kuna safu ya milima ya Ellsworth na huko uko mlima mrefu kabisa wa bara: ni Mlima Vinson wenye mita 4,892 juu ya UB.

Kuna pia volkeno kadhaa, nyingine zimelala, nyingine ziko hai. Volkeno hai ndefu inayotema moto barani ni Mlima Erebus wenye kimo cha mita 3,794: iko kwenye kisiwa cha Ross.

Ngao ya barafu ya kudumu

[hariri | hariri chanzo]
Ramani inaonyesha unene na uenezi wa ngao ya barafu ya Antaktiki:
- Rangi za buluu zinaonyesha unene wa ngao ya barafu kwa kutumia hatua za mita 1,000;
- buluu-nyeupe ni ngao ya barafu inapofunika maji ya bahari
- mistari minene: miinuko inayogawa mwendo wa barafu
- mistari membamba: mielekeo ya mwendo wa barafu
- nyekundu: sehemu zisizofunikwa na barafu

Tabia ya pekee ya Antaktiki ni ngao ya barafu inayofunika karibu uso wote wa nchi yake pamoja na sehemu za bahari ya karibu. Ngao ya barafu hii ni mkusanyiko mkubwa wa barafu duniani. Unene wake (yaani kimo juu ya ardhi) unafikia hadi mita 4,500.

Ngao ya barafu inajumlisha

• asilimia 90 ya barafu yote duniani
• asilimia 70 ya maji matamu yote duniani

Ni asilimia 2-3 za eneo lote la bara zisizofunikwa na barafu, yaani km² 280,000 tu.

Ngao hiyo ilianza kutokea miaka milioni kadhaa iliyopita. Uzito wake ni mkubwa na inaaminiwa ya kwamba bara lote lilishuka chini kiasi na kama siku moja ngao ya barafu itapotea litapanda tena juu mita kadhaa.

Barafu hii inashika maji mengi kiasi kwamba kama barafu yote itayeyuka siku moja uwiano wa bahari duniani kote itapanda juu takriban mita 61.

Mito, maziwa na barafuto

[hariri | hariri chanzo]
Ziwa la Lake Vostok - uso wa ziwa unaonekana kama eno tambarare; wakati wa joto kuna maji
Barafuto kubwa (mto wa barafu) barani Antaktiki

Tabia ya pekee ya Antaktiki ni pia uhaba wa mito. Mito yote inayotokea ni ya maji ya barafu ya kuyeyuka wakati wa "majira ya joto" katika miezi ya Februari na Machi. Katika sehemu nyingine ya mwaka mito yote inaonekana kama kanda la barafu. Mto mkubwa ni Onyx unaofikia urefu wa kilomita 30 ukiishia katika Ziwa Vanda.

Mito haina samaki, lakini katika ile mikubwa zaidi kuna mikrobi na algae.

Kuna maziwa kadhaa chini ya ngao ya barafu. Hata kama jotoridi yake ni chini ya sentigredi 0 baadhi yanaweza kuwa na maji ya kiowevu kwa sababu shinikizo kubwa ya ngao ya barafu linashusha halijoto ya kugandisha maji, hasa kama maji ni ya chumvi.

Barafu ya ngao haikai kimyakimya lakini yote ina mwendo ikifuata mtelemko wa uso wa nchi. Katika sehemu kadhaa barafu ina mwendo wa haraka zaidi na sehemu hizi zinaitwa "mito ya barafu" na ni aina ya barafuto. Mito ya barafu hii iko yenye urefu hadi kilomita mia kadhaa, upana wa 50 km na unene wa kilomita 2. Mwendo unafikia hadi mita 1.000 kwa mwaka. Pale inafikia kwenye ufuko wa bahari inajenga ulimi wa barafu inayosukumwa katika maji.

Hali ya kisiasa

[hariri | hariri chanzo]
Madai ya mataifa katika Antaktiki

Antaktiki si nchi wala dola na hakuna wenyeji au wananchi. Lakini madola mbalimbali yalitangaza madai ya kutawala sehemu za eneo lake. Madai haya hayalingani na mara kadhaa kuna mataifa mbalimbali yanayodai sehemu ileile.

Mataifa yanayodai kutawala sehemu za Antaktiki ni pamoja na Argentina, Australia, Chile, Ufaransa, New Zealand, Norwei na Ufalme wa Maungano.

Tangu mwaka 1961 kuna Mkataba wa Kimataifa kuhusu Antaktiki unaosimamisha madai yote ya utawala bila kuyafuta. Mataifa yote yana haki ya kuwa na vituo vya kisayansi. Mapatano ya kando yaliweka masharti makali kwa shughuli za kiuchumi na hadi sasa imewezekana kuzuia migodi na uchimbaji wa madini.

Mengineyo

[hariri | hariri chanzo]

Mtoto wa kwanza kuzaliwa barani huko alizaliwa mwaka 1984. Kwa sasa kuna shule kadhaa na kanisa moja la Waorthodoksi Warusi.

1. [Aristoteli (mwaka 350 [KK]) katika fungu la tano la kitabu chake juu ya metrolojia] Archived 27 Juni 2015 at the Wayback Machine.: "kuna kanda mbili zinazoweza kukaliwa na watu duniani: moja kwa upande wa juu, au karibu na ncha yetu ya kaskazini, nyingine karibu na ncha nyingine, au ncha ya kusini"
2. "Terence Armstrong, Bellingshausen and the discovery of Antarctica, Polar Record / Volume 15 / Issue 99 / September 1971, pp 887-889". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-20. Iliwekwa mnamo 2016-03-08.
3. Ilhali ncha ya kusini iko takriban katikati ya bara, kila upande kutoka huko uko kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]