Ontario
Mandhari
Ontario ni jimbo (province) la Kanada upande ya Ghuba ya Hudson. Ina eneo la 1,076,395 km². Kuna wakazi milioni kumi na tatu (13,425,124). Ni jimbo kubwa wa pili katika Kanada baada ya Quebec.
Mji mkuu ni Toronto ambayo pia ni mji mkubwa wa Kanada.
Imepakana na Quebec, New York, Michigan na Manitoba. Upande wa kusini kuna Ziwa Superior, Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario.
Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.
Gavana wa jimbo ni David Onley.
Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).
Miji Mikubwa
Viungo vya Nje
Province (jimbo) of Ontario Official Website
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|