[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

elekea

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kitenzi

[hariri]
  1. Kusonga au kwenda upande fulani; kuenda kwenye mwelekeo fulani. Mf. Tulielekea mjini mara tu baada ya kumaliza kula chakula cha mchana.
  2. Kuonyesha dalili za kuwa kitu fulani kitatokea. mathalani: Hali ya hewa inavyoonekana, inaelekea mvua itanyesha leo.

visawe

[hariri]
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.