[go: up one dir, main page]

Kiswahili

hariri

Nomino esperiana

hariri

mtandao (wingi mitandao)

  1. huduma inayowezesha kutuma na kupokea ujumbe kwa tarakilishi au simu ya rununu


Tafsiri

hariri

Mtandao kutokana na neno Tanda, kibantu ,maana kusambaza au anika ,mfano nyavu ya samaki ikitumika kuvua ,au buibui alivyo tandaza mtego wake . Munganisho ya Uzi wake kutegeneza mtego uitwayo web kwa kingereza ndo unamwezesha kukamata wadudu ,pia inamfahamisha Mara moja kama kuna adui.