[go: up one dir, main page]

5°2′6″S 39°6′1″E / 5.03500°S 39.10028°E / -5.03500; 39.10028

Mto Sigi ukitiririka kutoka mlimani wakati wa ukoloni.

Mto Sigi (pia: Zigi) ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.

Una urefu wa kilometa 100: unaanzia katika hifadhi ya msitu ya Amani iliyopo katika wilaya ya Muheza na baada ya kubadili mwelekeo mara kadhaa unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri