[go: up one dir, main page]

William Alfred Fowler (9 Agosti 191114 Machi 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uenezaji wa elementi za kikemia ndani ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja na Subrahmanyan Chandrasekhar alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

William Alfred Fowler
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Fowler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.