Simon Bolivar
Simon Bolivar (Caracas, wakati ule: Granada mpya, leo: Venezuela, 24 Julai 1783 - Santa Marta, Kolombia, 17 Desemba 1830) alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania.
Nchi mbalimbali humkumbuka kama baba wa taifa lao.
Kama jemadari alishinda jeshi la Hispania kati ya miaka 1810 na 1820.
Bolivar alikuwa kwa nyakati mbalimbali
- Rais wa kwanza wa "Gran Columbia"
- Rais wa kwanza wa Bolivia
- Rais wa pili na wa tatu wa Venezuela
- Rais wa sita wa Peru
Viungo vya nje
hariri- Simon Bolivar Archived 28 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simon Bolivar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |