Orodha ya visiwa vya Tanzania
Hii ni orodha ya visiwa vya Tanzania.
Upande wa Tanganyika
haririVisiwa vya maziwa yanayoundwa na mto Kagera
haririKisiwa cha Chabalewa * Kisiwa cha Kwankoro * Kisiwa cha Mubari * Kisiwa cha Nyakaseke
Visiwa vya Ziwa Nyasa
haririKisiwa cha Lundo * Kisiwa cha Mbamba
Visiwa vya ziwa Tanganyika
haririKisiwa cha Izinga * Kisiwa cha Kamamba * Kisiwa cha Malesa * Kisiwa cha Manda * Kisiwa cha Mikongolo * Kisiwa cha Nkondwe * Kisiwa cha Ulwile
Visiwa vya Ziwa Viktoria
haririBarega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Buluza * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Chakazimbe * Charaki * Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Goziba * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Izinga *Juguu * Juma * Kagongo * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kulazu * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Lyegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Siza * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue
Visiwa vimepangwa kuanzia kaskazini kwenda kusini
Visiwa upande wa kaskazini ya Tanga
- Kisiwa cha Kirui (kwenye mpaka wa Kenya)
- Kisiwa cha Gozini (Mkinga, Tanga)
- Kisiwa cha Gulio (Mkinga, Tanga)
Karibu na Jiji la Tanga
- Kisiwa cha Mwambamwamba (upande wa kaskazini wa Tanga mjini)
- Kisiwa cha Toten (Tanga mjini)
- Kisiwa cha Ulenge (pia Kisiwa cha Ndege, Bird Island - kaskazini ya Tanga mjini)
- Kisiwa cha Yambe, pia Jambe (Tanga mjini)
- Kisiwa cha Karange (Kusini ya Tanga mjini)
Kati ya Tanga na Dar es Salaam
- Kisiwa cha Kwale (Tanga)
- Kisiwa cha Maziwi (inatazama Pangani)
- Kisiwa cha Sangi (karibu na Mkwaja, Pangani)
- Kisiwa cha Mshingwi (inatazama Bagamoyo)
Visiwa vya Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam
- Kisiwa cha Bwejuu (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Fungu Yasini (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Kendwa (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Mbudya (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Pangavini (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Sukuti (inatazama Shungubweni, Mkuranga)
Funguvisiwa la Mafia
- Kisiwa cha Mafia
- Kisiwa cha Barakuni
- Kisiwa cha Chole
- Kisiwa cha Jibondo
- Kisiwa cha Jina
- Kisiwa cha Juani
- Kisiwa cha Niororo (pia Nyororo, funguvisiwa la Mafia)
- Kisiwa cha Shungumbili
Kwale (Kisiju) na visiwa vilivyo karibu naye
- Kisiwa cha Kwale (Pwani)
- Visiwa vya Chokaa
- Kisiwa cha Fanjove cha Kaskazini
- Kisiwa cha Hatambura
- Kisiwa cha Koma
- Kisiwa cha Pemba Juu
Visiwa mbele ya mdomo wa mto Mohoro
Funguvisiwa la Kilwa
Karibu na Mtwara
Funguvisiwa la Zanzibar
haririKijiografia funguvisiwa la Zanzibar huhesabiwa na Unguja, Pemba na Mafia pamoja na visiwa vidogo vilivyo karibu. Hapa tunaorodhesha visiwa vilivyo kisiasa sehemu za Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
- Unguja, pia Zanzibar tu
- Kisiwa cha Pemba
Visiwa vilivyo karibu na Unguja
hariri- Kisiwa cha Bawe
- Kisiwa cha Changuu
- Kisiwa cha Chapani
- Kisiwa cha Chumbe
- Kisiwa cha Daloni
- Kisiwa cha Kibandiko
- Kisiwa cha Kwale
- Kisiwa cha Miwi
- Kisiwa cha Mnemba - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Murogo Sand Banks
- Kisiwa cha Nyange
- Kisiwa cha Pange
- Kisiwa cha Popo
- Kisiwa cha Pungume
- Kisiwa cha Sume
- Kisiwa cha Tele
- Kisiwa cha Tumbatu - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Ukombe
- Kisiwa cha Uzi - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Vundwe
- Kisiwa cha Fundo - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Funzi
- Kisiwa cha Jombe
- Kisiwa cha Kashani
- Kisiwa Hamisi
- Kisiwa Kamata
- Kisiwa Mbali
- Kisiwa Ngombe
- Kisiwa cha Kojani - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Kokota - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Kuji
- Kisiwa cha Kwata Islet
- Kisiwa cha Makoongwe - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Matumbi Makubwa
- Kisiwa cha Matumbini
- Kisiwa cha Misali
- Kisiwa cha Njao
- Kisiwa cha Panani
- Kisiwa cha Panza - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Shamiani - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Sumtama
- Kisiwa cha Uvinje - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Vikunguni
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Pemba - The clove 1:100,000, Map & Guide, 2013, Dept. of Surveys and mapping, Chake-Chake