Oblast huru ya Kiyahudi
Oblast huru ya Kiyahudi (kwa Kirusi: Еврейская автономная область) ni eneo la shirikisho la Russia lililopo mashariki mwa Urusi mpakani kwa China.
Linaitwa hivyo kwa sababu lilianzishwa kwa lengo la kuhifadhi Wayahudi wa Urusi na utamaduni wao. Lakini kwa sasa hao ni 0.2% tu kati ya wakazi wote wa eneo hilo.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oblast huru ya Kiyahudi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |